Msaada: Kesi ya mwanamume kubakwa

Msaada: Kesi ya mwanamume kubakwa

Mwanaume hawezi kubakwa na mwanamke ,rape is a male offence,pia ili kuprove kwamba mwanamke hawezi kubaka angalia ingredients za kosa la rape that is actus reus na mens rea,mens rea ni consent na actus reus ni penetration however slight,mwanamke huwa hawezi kuingilia yeye ndie huingiliwa therefore mwanamke hawezi kubaka.
Uko sawa mkuu lakini mens rea ya kubaka ni malicious intention ya kumwingilia mwanamke bila consent.
 
Wewe vipi uwe unasoma vizuri, nimeandika ni kosa. Ni kanuni ya msingi kufanya jambo lolote kwa kulazimisha ni kosa "consent" ni moja ya kanuni muhimu katika sheria. Mtu yeyote akifanya jambo lolote bila hiyari yake ni kosa au kwa ushawishi wa pesa au kwa mabavu.
Soma meaning of rape ndo utaelewa kwamba mwanaume habakwi hta bila consent
 
Ubakaji kwa maana ya tafsiri chini ya kanuni ya adhabu (Kifungu 130)ni dhidi ya mwanamke tu mwambie huyo mdogo wako, linapofanya tofauti na kifungu hiki ni kosa jingine (sexual assault) mwambie apitie vyema Sura ya 15 ya Kanuni ya adhabu aache uvivu.
Sio sura ya 15 ni sura ya 16
 
Back
Top Bottom