Msaada: Kesi ya mwanamume kubakwa

Tusipotoshe watu wewe na wenzako pitieni gang rape, hii ndiyo circumstance pekee under Penal Code ambapo mwanaume anaweza kubakwa.
Una uhakika na unachokisema mkuu?
Kwa maana hata hiyo gang rape anayekuwa anabakwa sio mwanaume, swali alilouliza jamaa ni kuhusu mwanamke kumbaka mwanaume so Kwny gang rape mwanamke anakuwa included endapo atachukua hatua mbalimbali za kufanikisha ubakwaji wa mwanamke mwenzake,
 
Wewe jamaa are you serious kweli na unachokiongea kama msomi wa sheria au ndo unapga blah blah tu ilimradi?
Hiyo amendment imefanyika mwaka gani ? na Kama ipo hebu tuwekee hapa hiyo amendment
 
Doooo!!!!
Kazi kweli Kama hujui kitu usipotoshe it's better ukakaa kimya tu
 
Wewe jamaa are you serious kweli na unachokiongea kama msomi wa sheria au ndo unapga blah blah tu ilimradi?
Hiyo amendment imefanyika mwaka gani ? na Kama ipo tuwekee hapa hiyo amendment

Muwe mna google basi! Mnatusumbua kila kitu mnataka kiwe hapa JF Jiongeze Mkuu. Nimetoa mfano wa sheria mpya za huko ulaya(germany).Imetoka mwaka jana 2016.
 
Muwe mna google basi! Mnatusumbua kila kitu mnataka kiwe hapa JF Jiongeze Mkuu. Nimetoa mfano wa sheria mpya za huko ulaya(germany).Imetoka mwaka jana 2016.
Hapa mada kuu tunazungumzia position ya Tanzania sio huko unaposema wewe
 
Doooo!!!!
Kazi kweli Kama hujui kitu usipotoshe it's better ukakaa kimya tu
Kilichokuleta jf ni kupinga hoja bila ufafanuzi.... wewe ndie unyamaze kama huna hoja na hoja yangu huwezi ipinga kijinga bila ya kuwa na point zozote... yaonesha wewe sio great thinker... unawazia masaburi
 
Ubakaji kwa maana ya tafsiri chini ya kanuni ya adhabu (Kifungu 130)ni dhidi ya mwanamke tu mwambie huyo mdogo wako, linapofanya tofauti na kifungu hiki ni kosa jingine (sexual assault) mwambie apitie vyema Sura ya 15 ya Kanuni ya adhabu aache uvivu.

upo sahihi kaka ila ni cap 16 cyo 15
 
Kilichokuleta jf ni kupinga hoja bila ufafanuzi.... wewe ndie unyamaze kama huna hoja na hoja yangu huwezi ipinga kijinga bila ya kuwa na point zozote... yaonesha wewe sio great thinker... unawazia masaburi
Nitoe hoja mara ngapi?
Hebu angalia vizur Hoja nimeshatoa
 
Hiyo wataalamu wameshasema sio pure rape. Sisi tunazungumzia ile rape yenyewe ya kulazimisha.
 
Hiyo wataalamu wameshasema sio pure rape. Sisi tunazungumzia ile rape yenyewe ya kulazimisha.
Kulazimisha hapo tayari ushakuwa side yangu.. sababu hata ukimraghai mtu kuhusu sex ni sawa na kumlazimisha the issue kubwa ni age au aina ya unyanyasaji ndio nimesema vile kama bosi kumtaka kimapenzi mtu sababu ya cheo chake anamlazimisha n.k ukizungumzia rape ya wapo wasichana waliowazidi wanaume kiumri ambao humlazimisha mvulana ambake...
 
Hizi bahati za kubakwa na wanawake wangine hawazipati..ni nadra sana!
 
Soma penal code ama kanuni za adhabu section 130, unapotosha uma na hilo ni kosa kisheria.
 
Soma penal code ama kanuni za adhabu section 130, unapotosha uma na hilo ni kosa kisheria.

Wewe vipi uwe unasoma vizuri, nimeandika ni kosa. Ni kanuni ya msingi kufanya jambo lolote kwa kulazimisha ni kosa "consent" ni moja ya kanuni muhimu katika sheria. Mtu yeyote akifanya jambo lolote bila hiyari yake ni kosa au kwa ushawishi wa pesa au kwa mabavu.
 
Sheria ya kubaka Tanzania haitambui kubakwa mwanaume,ansyebakwa ni mwanamke.Hata hivyo mwanamke naye lazima ithibitike kulikuwa na penetration na mwanamke hakuridhia.Uingereza mume aweza baka mkewe,Tanzania mume ana haki ya kugonga hata kama mkewe hataki.
 
Kulawitiwa si analawitiwa na mwanamume mwenzie mkuu?

Hivi kuna uwezekano mwanamke kumlawiti mwanamume?
Mwanamke atapenetratisha nini mkuu,kubakwa hakupo ,anabakwa mwanamke tuu,na lazima mashine iingie kama haikuingia hiyo ni equivocal haitambuliki na penal code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…