Msaada: Kesi ya mwanamume kubakwa

Uko sawa mkuu lakini mens rea ya kubaka ni malicious intention ya kumwingilia mwanamke bila consent.
 
Soma meaning of rape ndo utaelewa kwamba mwanaume habakwi hta bila consent
 
Ubakaji kwa maana ya tafsiri chini ya kanuni ya adhabu (Kifungu 130)ni dhidi ya mwanamke tu mwambie huyo mdogo wako, linapofanya tofauti na kifungu hiki ni kosa jingine (sexual assault) mwambie apitie vyema Sura ya 15 ya Kanuni ya adhabu aache uvivu.
Sio sura ya 15 ni sura ya 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…