southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Habari wakuu. Kuna mdogoangu alifanyiwa application za chuo cha afya cha diploma (nacte) lakini kachaguliwa ambacho ni cha private na pia ada yake ni kubwa tunataka kumbadilishia au tuanze upya appliction ,Tunafanyaje maana account yake hairuhusu tena kiapply