Msaada kibadili chuo cha nacte

Msaada kibadili chuo cha nacte

southernboy

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
882
Reaction score
1,075
Habari wakuu. Kuna mdogoangu alifanyiwa application za chuo cha afya cha diploma (nacte) lakini kachaguliwa ambacho ni cha private na pia ada yake ni kubwa tunataka kumbadilishia au tuanze upya appliction ,Tunafanyaje maana account yake hairuhusu tena kiapply
 
Anaweza akaanza kusoma huko private then baadae mnamuhamishia cha serikali, I think it's possible
 
Anaweza akaanza kusoma huko private then baadae mnamuhamishia cha serikali, I think it's possible
Yeah inawezekana. Lkn pia kwa walio na nia ya kwenda diploma ni bora kipindi wana jaza sel form wawe wanaweka chuo first selection ndo njia nyepesi kuchaguliwa vyuo vya serikali ukitegemea Application hapo competition inakubana sana
 
Ahaa asanteni kwahiyo kuapply tena sahizi kwenyebdirishabhili hatoweza?
 
Back
Top Bottom