Mdigokhan
JF-Expert Member
- May 2, 2022
- 942
- 2,198
Khabari zenu,
Nina mtoto mdogo wa miezi 5 sasa, ana ule mfereji katika kichwa una majina mengi sana. Kulingana na kila jamii, wengine huita nzata sijui nzasa but ni mpasuko katika kichwa.
Mke wangu ameniambia dawa ni kumpaka shahawa zangu nimpake dogo. Nimestuka kwa kiasi nikaona nije huku labda nawezapata majibu au aliyewahi tokewa na hili.
Ningeweza uliza wazazi, ila nikawaza je, kama dawa ni hizi shahawa wangeniambiaje?
Msaada.