Msaada: Kichwa kutoa mfereji kwa watoto (nzata)

Mdigokhan

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2022
Posts
942
Reaction score
2,198
Khabari zenu,

Nina mtoto mdogo wa miezi 5 sasa, ana ule mfereji katika kichwa una majina mengi sana. Kulingana na kila jamii, wengine huita nzata sijui nzasa but ni mpasuko katika kichwa.

Mke wangu ameniambia dawa ni kumpaka shahawa zangu nimpake dogo. Nimestuka kwa kiasi nikaona nije huku labda nawezapata majibu au aliyewahi tokewa na hili.

Ningeweza uliza wazazi, ila nikawaza je, kama dawa ni hizi shahawa wangeniambiaje?

Msaada.
 
Vp bro je? Ulilipata ufumbuz gan kwa.mtoto au alimpaka hzo??
 
Back
Top Bottom