Msaada kidogo wa kisheria

Msaada kidogo wa kisheria

Nimelinoti hilo mapema, ATA uandishi wake wakijanja janja sana, thanks !!!
mamii tafuta... nadhani kuna law firms nyingi tu town na ushauri tu sidhani kama itakuwa that much cash! issue kubwa hapo ni bleach of contract na nafikiri still uko kwenye nafasi nzuri ya kuwa na case..
 
Thanks, umenipa moyo!!! Ngoja niwatafute!!!!
 
Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,

Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
Pole sana yoga!

Umepata msaada? Kama haujapata njoo PM.
 
Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,

Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
Mliuzianaje? Kishikaj au in writing?
 
Jamani Kuna mtu nilifanya nae biashara ya kuumuuzia gari ndogo akatoa fedha nusu na makubaliano kumaliza iliyobaki baadae, but, MDA umepita zaid ya miezi kadhaa kinyume na makubliano na ameanza viswahili,

Mkataba haujatekelezwa kama ulivyo pangwa
Je sheria inatoje msimamo wa MTU ka huyu!!!!
If poccible WhatsApp mi 0713347432
 
Jamni, Is there any how naweza pata ushauri wa nafanya nini even if ni toolate
Hapo inabidi mgekuwa na documents mlizosign wote ....though in law pia oral contracts zinakubalika as long ziwe na ingredients zote za a valid contract
 
Kama ni workmate siyo issue, ameshabadili documents kwa jina lake?
Sheria haipo hvyo kama unavyo dhan hata kama ur Faza hamjafany in terms of writing anakuruka so the important here is there any documents
 
Back
Top Bottom