Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Hapo inataka usikosee hata nukta. Hivyo ni bora uwe na salary slip maana hapo inaonesha kuna taarifa hazipo sahihi.Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka interface hapa kurahisisha.
Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help
Link ni https://als.muse.go.tz/#/authentication/signup
View attachment 2844942
View attachment 2844943
Wewe jamaa ni kipanga wa hesabuCheck namba: unaijua, majina Yako uanayajua,mwaka wa kuzaliwa unajua, vote code..na subvote code tazama kwenye salary slip. Benk acc unaijua mwenyewe, salary scale tazama kwenye salary slip....sasa mchawi Yuko wapiii....????
Msaada wa namna ya kujiunga na hazina portalHapo inataka usikosee hata nukta. Hivyo ni bora uwe na salary slip maana hapo inaonesha kuna taarifa hazipo sahihi.
Inategemea kama fedha hiyo BOT imeielekeza huko.Wakuu hii mikopo kwa wafanyakazi wa halmashauri tu? au mpka walimu wa vyuo vikuu lecturer wanaweza na wao wakakopa? Nashukuru
Habari wadau, naomba kujua vigezo vya kuomba mkopo wa hazina?Wakuu hii mikopo kwa wafanyakazi wa halmashauri tu? au mpka walimu wa vyuo vikuu lecturer wanaweza na wao wakakopa? Nashukuru
mkopo ili upate inabidi uwe mtumishi.Habari wadau, naomba kujua vigezo vya kuomba mkopo wa hazina?