MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.

Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.

Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.

Nitaweka interface hapa kurahisisha.

Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help

Link ni https://als.muse.go.tz/#/authentication/signup

Screenshot_20231217_134829_Chrome.jpg

Screenshot_20231217_134847_Chrome.jpg
 
Check namba: unaijua, majina Yako uanayajua,mwaka wa kuzaliwa unajua, vote code..na subvote code tazama kwenye salary slip. Benk acc unaijua mwenyewe, salary scale tazama kwenye salary slip....sasa mchawi Yuko wapiii....????
 
Asante kwa Bandiko la Mikopo Mkuu.

WAKOPAJI WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO (USIONDOKE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.

Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.

Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.

Nitaweka interface hapa kurahisisha.

Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help

Link ni https://als.muse.go.tz/#/authentication/signup

View attachment 2844942

View attachment 2844943
Hapo inataka usikosee hata nukta. Hivyo ni bora uwe na salary slip maana hapo inaonesha kuna taarifa hazipo sahihi.
 
Check namba: unaijua, majina Yako uanayajua,mwaka wa kuzaliwa unajua, vote code..na subvote code tazama kwenye salary slip. Benk acc unaijua mwenyewe, salary scale tazama kwenye salary slip....sasa mchawi Yuko wapiii....????
Wewe jamaa ni kipanga wa hesabu
 
Hivi inachukua muda gani baada ya kuwa umeomba make sielewi wengine Ni wiki ya 2 Sasa na HAKUNA majibu Ni kimya tu
 
Kwenye salary step ni 1ua 2 anagalia salary slip ni TGTS D/E ni 1au 2 baada ya hapo verify
 
Wakuu hii mikopo kwa wafanyakazi wa halmashauri tu? au mpka walimu wa vyuo vikuu lecturer wanaweza na wao wakakopa? Nashukuru
 
Wakuu hii mikopo kwa wafanyakazi wa halmashauri tu? au mpka walimu wa vyuo vikuu lecturer wanaweza na wao wakakopa? Nashukuru
Inategemea kama fedha hiyo BOT imeielekeza huko.

Ile pesa ambayo ipo available na lengo ni kuwakopesha watumishi. Wewe kama mtumishi unastahili mkuu.
 
Back
Top Bottom