Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Ndugu zangu poleni na majukum.

Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.

Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu

Natanguliza shukrani zangu za zati
 
Wanaume wengi siku hizi ndo hivyo sijui mmepatwa na nn.....tafuta mmoja unayemwamini then muwe mnafanyaa bilaaa hayo maganda......dudu ambayo haijavaa nguo nayo tamu jaman
TBS
 
Wanaume wengi siku hizi ndo hivyo sijui mmepatwa na nn.....tafuta mmoja unayemwamini then muwe mnafanyaa bilaaa hayo maganda......dudu ambayo haijavaa nguo nayo tamu jaman
Me ndo kabsa hua sivai hayo
Makaratas
 
Asanteni wakuuu kwa ushauri wenu
 
umeathirika kisaikolojia na mara nyingi atakuwa huyo demu amekuathiri......jaribu kwa demu mwingine uone itakuwaje.......
 
Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.

Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu



Natanguliza shukrani zangu za zati

Simple, Afya mbovu. Kula vizuri, fanya mazoezi na socialize kupunguza stress. Mfano ukianza mazoezi na kula mbogamboga utaanza kula enough
 
Pole sana mkuu sex na mwanamke ambae huna wasiwasi nae i mean unaemuamini then then jiamini kama mwanaume hayo mambo yanatokeaga sio kwa ww tu wanaume wengi yanawatokea
 
Jambo la kawaida mkuu hasa kipindi hiki cha tumbua tumbua na huu uhakiki wa watumishi.
 
Back
Top Bottom