Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Jambo la kawaida mkuu hasa kipindi hiki cha tumbua tumbua na huu uhakiki wa watumishi.
 
Pole mkuu..nenda hospital..na kama una tabia ya kujichua acha
 
Chukua tangawizi MBICHI, tengeneza juice yake. Pata walau glasi tatu kwa siku tatu halafu kaonane na huyo girl wako.
Usiache kuleta mrejesho kwa faida ya wengine.
 
Punguza msongo wa mawazo mzee kama huma stress
Kapime kisukari mzee
 
Chukua tangawizi MBICHI, tengeneza juice yake. Pata walau glasi tatu kwa siku tatu halafu kaonane na huyo girl wako.
Usiache kuleta mrejesho kwa faida ya wengine.
Mkuuuu natengeneza juice kwa maji ya moto au baridi
 
Chukua tangawizi MBICHI, tengeneza juice yake. Pata walau glasi tatu kwa siku tatu halafu kaonane na huyo girl wako.
Usiache kuleta mrejesho kwa faida ya wengine.
Hizi vitu huwaga siamini kabisa
 
NI swala la kisaikolojia zaidi. Nakumbuka niliwai kukaa miaka miwili na mylove tukipiga mechi bila condom, siku nimejaribu kuvaa baada ya muda kitu chali nikivua mtarimbo unakuwa na nguvu za simba.

Nilichogundua nikwamba ilikuwa nikipata direct skin-skin contact na lile joto inshu safi ila nilijilazimisha kuendelea hivyohivyo baada ya kujaribu kama mara tatu nne kwa siku tofauti hali ikawa kawaida

Kwa kifupi ni hatari sana kwako kama una wasichana tofauti..
 
Wanaume wengi siku hizi ndo hivyo sijui mmepatwa na nn.....tafuta mmoja unayemwamini then muwe mnafanyaa bilaaa hayo maganda......dudu ambayo haijavaa nguo nayo tamu jaman
Mhhh,,,,,hiyo avatar hiyo
 
..... Block hiyo website ya www.xvideos.com haraka... Ndio tatizo linakusumbua. Pia punguza "chaputa"(isiache kbs kwani nayo ina umuhimu wake) tatizo litaisha.
 
Wanaume wengi siku hizi ndo hivyo sijui mmepatwa na nn.....tafuta mmoja unayemwamini then muwe mnafanyaa bilaaa hayo maganda......dudu ambayo haijavaa nguo nayo tamu jaman
[emoji102]
 
Back
Top Bottom