Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Una jini mahaba. So hataki ugonge K nyingine zaidi ya kumgonga yeye tu ndotoni.

Muone Dr ayakimbize. Hiyo kitu hospital hutopata tiba.

Pia huko kusinyaa wakati wataka kufanya zinaa ni bora kwako Mara 900
 
Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.

Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu



Natanguliza shukrani zangu za zati
wacha nyeto
 
[emoji25][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwan kuna condom kubwa mkuu
Hahah!! Zipo sawa ila Ukubwa au udogo wa ndom inategemea na mvaaji sasa, huwezi kumvisha mtoto kiatu kikubwa
 
Hahah!! Zipo sawa ila Ukubwa au udogo wa ndom inategemea na mvaaji sasa, huwezi kumvisha mtoto kiatu kikubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie uyo demu alinyonye kwanza dushe alaf ndo uvae condom
 
Piga zoezi walau mara 4 kwa wiki, acha kula chips mayai kula mihogo mibichi, asali changanya na mdalasini, tangawizi na unga wa habatsoda kunywa maji ya kutosha, tafuna kitunguu swaum mara kwa mara, tikitiki maji na mbegu zake tafuna meza malizia na kegel exercise. Zingatia kwa mwezi mmoja hakika utapata mabadiliko, usisahau kuleta mrejesho hapa.
 
Dawa ni hizi.

1. Acha wasiwasi wakati wa kazi.
2. Usikamie sana
3. Kula vizuri (punguza vyakula vya mafuta)
4. Piga mazoezi sana
5. Kunywa maji ya kutosha ie. Minimum kunywa lita tatu za maji daily.
6. Acha nyeto
7. Punguza/acha sigara na pombe.

NB: ukitaka kufurahia game kua mwana mazoezi tu.
 
Wanaposema kacheki afya , husiwe na hisia mbaya za kuwa na HIV, Luna magonjwa ya sakologia kama mawazo, lakini pia magonjwa kama typhoid, maleria, kisukari, pressure na madonda ya tumbo yote yanapunguza uwezo wa kusimamia show vizuri.
 
Back
Top Bottom