infinix2020
Member
- Dec 30, 2020
- 76
- 150
Wala sijawahi kuwafikiria hata kidogoShida ni ubongo wako unawaza ngono juu ya watu hao
Mwamposa mwenyew anaotaga hvoHao Ni pepo wachafu,
Anza kufuatilia maombi ya Mwamposa
#NonsenseMwamposa mwenyew anaotaga hvo
Ogea chumvi ya mawe hizo ndoto zitakataKila siku naota ndoto nafanya mapenzi na wadada mbalimbali naowafahamu,licha yq kuwa nimeoa mke mzuri tu na nafanya nae mapenzi mara 4 kwa wiki.
Je, hii shida nini chanzo chake na matibabu yake ni yapi.
Naomba kuwasilisha kwenu na mnisaidie.
HahahaaaaCan imagine mwenzio anajua upo nae kumbe wewe unakula matunda kimasihara ndotonii
Anyway huenda MDA mwingi unatizama wada/wake za wenzio maeneo uwapo na kujenga picha ya kunako SITA kwa SITA utafanya mipozi mbali mbali
Hamuka tafta helaaa wadada wapoo siku zote
hahahahaaaaaaMwamposa mwenyew anaotaga hvo
Mara moja kuwafikia inatoshaWala sijawahi kuwafikiria hata kidogo
Anaweza kuchukulia comment yako kama masihara,lkn ukweli wengi inakuwa ni hivyo,anakujia na sura tofauti ukifikiri kuwa ni watu tofauti kumbe ni mmoja.Simama kwenye toba ya kweli,ingia kwenye maombi ya kudhamiria kuomba Mungu akuepushe na hizo roho,ikiwezekana hata uwe unafunga angalau mara moja kwa wiki kuombea hiyo roho ikuachie,kitakachofuata usipochukua hatua ndoa yako itakuwa na migogoro mingi na mwishowe usipoangalia ndoa itavunjika,uchumi wako utayumba,hakuna utakalofanikiwa kwenye maisha yako,na hata unaweza kujikuta magonjwa yanakuandama kila kukicha,chukua hatua...Una jini mahaba
Wakati nipo Tanga School miaka ya 1980 huko,nilikuwa na jamaa ambaye wadada wa Korogwe Girls walikuwa wanamuita "handsome".Una jini mahaba
Mabinti hao walikuwa washirikina na walimtumia kisirikinaWakati nipo Tanga School miaka ya 1980 huko,nilikuwa na jamaa ambaye wadada wa Korogwe Girls walikuwa wanamuita "handsome".
Jamaa alikuwa anapatwa na ndoto hizo za kufanya mapenzi sana na wadada tofauti tofauti.
Miaka 10 baadae watu wanaomfahamu jamaa wamerudi Tanga na kukutana na watoto wengi wanaofana vile vile na huyo jamaa.
Bahati mbaya jamaa alishatangulia mbele ya haki.