Anaweza kuchukulia comment yako kama masihara,lkn ukweli wengi inakuwa ni hivyo,anakujia na sura tofauti ukifikiri kuwa ni watu tofauti kumbe ni mmoja.Simama kwenye toba ya kweli,ingia kwenye maombi ya kudhamiri kuomba Mungu akuepushe na hizo roho,ikiwezekana hata uwe unafunga angalau mara moja kwa wiki kuombea hiyo roho ikuachie,kitakachofuata usipochukua hatua ndoa yako itakuwa na migogoro mingi na mwishowe usipoangalia ndoa itavunjika,uchumu wako utayumba,hakuna utakalofanikiwa kwenye maisha yako,na hata unaweza kujikuta magonjwa yanakuandama kila kukicha,chukua hatua...