MSAADA: Kila siku naota ndoto nafanya mapenzi na wadada mbalimbali licha ya kuwa nimeoa

Ujue sijataja kimasihara, jamaa ana jini mahaba kweli
 
Kila siku naota ndoto nafanya mapenzi na wadada mbalimbali naowafahamu, licha yq kuwa nimeoa mke mzuri tu na nafanya nae mapenzi mara 4 kwa wiki.

Je, hii shida nini chanzo chake na matibabu yake ni yapi.

Naomba kuwasilisha kwenu na mnisaidie.
Waza nini la kufanya kesho, fanya kazi kwa bidii, kula vizuri na mapema, lala mapema ukiwazia kazi za kesho. Muda wa mapumziko ukiwa na simu yako epuka kuiangalia picha za ngono. Ukiotacho ndio mawazo yako kwa wingi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…