Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Piga dawa ya wadudu mkuuWadau miche ya hoho inaliwa kwenye kitalu nipige dawa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga dawa ya wadudu mkuuWadau miche ya hoho inaliwa kwenye kitalu nipige dawa gani?
Ungeweza msaidia yy na wengine wote kwa kuandika hapa hapa kila mmoja asome na aulize maswal ili uwasaidie wengi zaidKwa yeyote anaye hitaji elimu kuhusu Kilimo cha pilipili Hoho nipigigie no.0745968314 nitakuelezea hatua moja mpaka mwisho
Ukitaka kulima kwa raha nenda morogoro
Wewe unalima piaWadau msiogope jua huku dar ukilima tandaza majani kitaalamu wanaita mulching, google FARMING GOD"S WAY then click enter site uone mapicha picha.
Hiii hesabu haiko sahihiMimi uzoefu wangu ni kwenye hoho
Shamaba kukodi sh 100000,mbegu 585000,kuandaa shamba 1250000 ,kupanda vibarua 60000,mafuta kumwagilia 240000,mbolea kupandia 60000,mbolea kukuzia 50000,Mbolea NPK 60000,Mbolea CAN 50000,madawa 250000,palizi 200000, Kijana wa kazi 300000 gharama hizi zinaweza kupunguwa ama kuongezeka kutegemea na mazingira ulipo na gharama hizi ni kwa mtu aliye na vifaa kama water pump mipira ya kumwagilia na pumps za kupulizia dawa NB KWENYE MBEGU BEI INAWEZA KUPUNGUWA MPAKA KUFIKIA TSH 40000 KUTEGEMEA NA AINA YA MBEGU GANI UTAPANADA
Ndg zang!! Napenda kuulizia kilimo cha hoho!! Je kinalipa na changamoto zake ni zipi!? Naomba kuwakilisha
Unaomba kumwakilisha nani na ni wapi? Kiswahili buana 😳😳
Mkuu bado unalima hoho had sa hv?