Msaada kilimo cha hoho

Kwa ujuzi wako ni mbegu ipi nzuri ya hoho na je ukizipanda mwezi wa 11 soko lake linaweza kuwa zuri
 
Kwa yeyote anaye hitaji elimu kuhusu Kilimo cha pilipili Hoho nipigigie no.0745968314 nitakuelezea hatua moja mpaka mwisho
 
Kwa yeyote anaye hitaji elimu kuhusu Kilimo cha pilipili Hoho nipigigie no.0745968314 nitakuelezea hatua moja mpaka mwisho
Ungeweza msaidia yy na wengine wote kwa kuandika hapa hapa kila mmoja asome na aulize maswal ili uwasaidie wengi zaid
 
Wadau msiogope jua huku dar ukilima tandaza majani kitaalamu wanaita mulching, google FARMING GOD"S WAY then click enter site uone mapicha picha.
 
Hiii hesabu haiko sahihi
 
Bei ya kuuza hoho toka shambani ama ukipeleka sokoni inakaaje?!
Mwenye ufaham plzzz!
 
Ndg zang!! Napenda kuulizia kilimo cha hoho!! Je kinalipa na changamoto zake ni zipi!? Naomba kuwakilisha
 
Nahitaji connections ya soko zuri la hoho nipo arusha na kuanzia mwez November nitaanza kuvuna bdo sijawa na soko la uhakika.
 
Kichwa cha habari chahusu kilimo cha nyanya au hoho,mimi nataka kulima nyanya au hoho kipindi hiki(mwezi wa 9)je inafaa?niko moshi, pia mbegu gani nzuri inafaa itakayonitoa?naomba ushauri wenu wadau
 
Wadau wangu, ninatarajia kupata mtaji wa 2milion, nina wazo la kulima HOHO ekari 2, niko moshi, kwa wale wataalamu ni mbegu gani itanifaa?, na kwa 2ml naweza lima hizo ekari 2, kwa wale wazoefu ekari mbili inatoa kiasi gani cha roba, naombeni ushauri na mawazo mbadala, ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…