Msaada: Kilimo cha Matango, Utaalam na Masoko

Msaada: Kilimo cha Matango, Utaalam na Masoko

Pia lina hasara kubwa sana usiangalie faida pekee ,sababu ni zao la muda mfupi hii inapelekea liwe zao ambalo leo limeadimika na baada ya mwezi likawa jingi sana sokoni ,chunguza soko vizuri kisha ulime sio kusikia tu lina faida
 
KXY na Sabayi walikuuliza swali we Teye toka 2013 leo ni 2015 hujalijibu mkuu

mkuu hili ni jukwaa la wakulima sio la wanasiasa maana wao wanakaa ofisini majibu ni hapohapo. Hapa unakuta ni mkulima alikuja kiuza mazao yake mjni akanunua cm. Hiyo siku aliyonunua ndio aliunga kifurushi na kupost. Sasa akirudi shambani ambapo ni vijijini changamoto ni nyingi mara umeme wa kichaji hamna, au iingie maji shambani, si unajua tena huko hamna mafundi, internet sijui ya 4g na 3g hamna. So mtu wa hivyo ni mpaka alete mazao tena town
 
Maisha yangu yakilimo cha matango changamoto kubwa ni upatikanaji wa Soko lake
soko ni wamadalali hakuna uhakika wa soko je wadau ushauri wenu ni UPI?
 
Pia lina hasara kubwa sana usiangalie faida pekee ,sababu ni zao la muda mfupi hii inapelekea liwe zao ambalo leo limeadimika na baada ya mwezi likawa jingi sana sokoni ,chunguza soko vizuri kisha ulime sio kusikia tu lina faida
Mkuu January to march Tango linalipa sana!!
 
Nategemea Kuvuna mwezi March tarehe 8-15 je wakati huo soko linakuwaje wadau
 
Tunahitaji mwenye taarifa zaidi wakuu..

A) aina za mbegu
B) changamoto za magonjwa
C) gharama kwa heka ni ngapi
C) upatukanaji wa soko zuri
D) mavuno kwa hekta moja ni kiasi gani
E) kipindi gani soko linakuwa zuri
 
Salaam wanaJF nimepata shamba Kimanzchana kama Ekari tatu nahtaj nilime matango.
Naomba ushauri na msaada kwa ambao wamewah lima au ambao wanajua kilimo hiki juu ya
1.Mbegu bora
2 Ulimaji wake,Dawa,Magonjwa,Soko,Usimamizi nk
Pia kwa anayejua kwa sasa kukodi Trekta au maksai n shngap kwa ekari. Najua Mkuu Malila na wengine mna data za kutosha
Asanteni
 
Mkuu mimi nlilima matango mwaka jana mwezi wa tisa mkoani kilimanjaro,nlivuna vizuri tuu.Nlitumia mbolea ya ng'ombe na nkamwagilia kawaida tuu..then nkapanda tena mwezi wa kumi na mbili but sikuvuna vizuri sana kwa sababu hali ya hewa ilikuwa ya jua kali sana mchana na baridi kali usiku,sometimes mchana kuna joto kali lililochanganyika na upepo,,mimi sikutumia madawa yeyote but kwa ushauri zaidi ingia you tube na kwenye google utapata maelezo ya kutosha.
 
Ukikosa ushauri hapa nenda kwenye mitandao. Hasa youtube na pininterest (wanayo app pia). Hiyo mitandao miwili imenisaidia kwenye kilimo changu kidogo cha mboga mboga.
 
Tunahitaji mwenye taarifa zaidi wakuu..

A) aina za mbegu
B) changamoto za magonjwa
C) gharama kwa heka ni ngapi
C) upatukanaji wa soko zuri
D) mavuno kwa hekta moja ni kiasi gani
E) kipindi gani soko linakuwa zuri
Mkuu pia waweza kupitia blogu mbalimbali za wajasiliamali zinazoelezea kilimo na hatua zake. Huko kuna michanganuo ya kutosha tuu. Wewe guugo kilimo cha matango, basi vitu vitatiririka. Ila taarifa za mitandaoni siyo moist reliable maana kuna kupandishana sana mizuka tofauti na uhalisia.
 
Kazi kweli! Kama unayo mengi si upeleke sokoni moja kwa moja?
 
MMMH HYO LUGHA YAKO YA KUONGEA NA WATEJA WAKO MH...ET HOYA....
 
Wakuu habari zenu,kumekucha tena,mwezi huu wa Tisa nimeamua kulima mazao haya kwa kuyamwagilia,mazao ya Maharage na matango. Naomba msaada wa ushauri wa MBEGU bora na madawa ya wadudu ili kuketa tija ktk KILIMO hiki.
Asanteni Nakaribuni kwa mchango wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom