Msaada: Kilimo cha Matango, Utaalam na Masoko

Habarini za mda huu wapendwa. Lengo la kuandika uzi huu ni kutaka kufahamu juu ya muongozo wa kufuata ili niweze kufanikisha kilimo cha matango na niwakati gani kilimo hiki huwa na soko zaidi.

Natumaini majibu chanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kilimo rahisi kuliko vyote. Ingia kwenye field mkuu. Hutapata majibu sahii ukiwa upo nyuma ya keyboard

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Nimesoma uzi wooooote sijaona aliyejibu maswali ya mleta thread ingawa watu wamejitokeza na kuonesha kuwa wao wanalima hiki kilimo.Tunas ilikeni jamani,yushee ujuzi
 
Maswali ya mleta thread sio maswali rahisi ni swali analotaka mtu amuandalie planning nzima ya kilimo cha tango sio kitu rahisi interms of muda wa kuandaa na interms of free service,ni sawa na kuandaa business plan. Kwa urahisi chukia abc mtandaoni ila kuandika hapa si suala dogo kama mleta mada anavyolichukulia maana hapo ni mambo ya mbegu,shamba maandalizi,mbolea,madawa,kitalu,huduma shambani,uvunwaji,soko etc
 
mkuu una ujuzi na hili zao?
 
Uchoyo unaweza ukajibu mawili ichoyo ni dhambi kama zambi zingine hasa ile ya unzinzi
 
Sijawa mchoyo nimeongea reality ya ukubwa swali,sina uchoyo wa kushare hata kidogo thus y nikamjuza shughuli ya kuandika mwanzo mwisho sio ndogo sikua na nia mbaya sorry
 
Back
Top Bottom