the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
asante sana kwa tahadhari hiyo horticulturistPia lina hasara kubwa sana usiangalie faida pekee ,sababu ni zao la muda mfupi hii inapelekea liwe zao ambalo leo limeadimika na baada ya mwezi likawa jingi sana sokoni ,chunguza soko vizuri kisha ulime sio kusikia tu lina faida
Apo lunofu kabisaSawasawa tulilumwi
Unalimia wapi?Maisha yangu yakilimo cha matango changamoto kubwa ni upatikanaji wa Soko lake
soko ni wamadalali hakuna uhakika wa soko je wadau ushauri wenu ni UPI?
Mkuu January to march Tango linalipa sana!!Pia lina hasara kubwa sana usiangalie faida pekee ,sababu ni zao la muda mfupi hii inapelekea liwe zao ambalo leo limeadimika na baada ya mwezi likawa jingi sana sokoni ,chunguza soko vizuri kisha ulime sio kusikia tu lina faida
Asante nalimia bagamoyo.Unalimia wapi?
Mkuu pia waweza kupitia blogu mbalimbali za wajasiliamali zinazoelezea kilimo na hatua zake. Huko kuna michanganuo ya kutosha tuu. Wewe guugo kilimo cha matango, basi vitu vitatiririka. Ila taarifa za mitandaoni siyo moist reliable maana kuna kupandishana sana mizuka tofauti na uhalisia.Tunahitaji mwenye taarifa zaidi wakuu..
A) aina za mbegu
B) changamoto za magonjwa
C) gharama kwa heka ni ngapi
C) upatukanaji wa soko zuri
D) mavuno kwa hekta moja ni kiasi gani
E) kipindi gani soko linakuwa zuri
Subiri wanakuja.!Oya wadau mwenye kununua matango. Natafuta mteja tafadhali,nipo mbeya.
Alyepo tayari/serious anicheck. 0768228904.WhatsApp
Sent using Jamii Forums mobile app