mkuu una ujuzi na hili zao?Maswali ya mleta thread sio maswali rahisi ni swali analotaka mtu amuandalie planning nzima ya kilimo cha tango sio kitu rahisi interms of muda wa kuandaa na interms of free service,ni sawa na kuandaa business plan. Kwa urahisi chukia abc mtandaoni ila kuandika hapa si suala dogo kama mleta mada anavyolichukulia maana hapo ni mambo ya mbegu,shamba maandalizi,mbolea,madawa,kitalu,huduma shambani,uvunwaji,soko etc
Uchoyo unaweza ukajibu mawili ichoyo ni dhambi kama zambi zingine hasa ile ya unzinziMaswali ya mleta thread sio maswali rahisi ni swali analotaka mtu amuandalie planning nzima ya kilimo cha tango sio kitu rahisi interms of muda wa kuandaa na interms of free service,ni sawa na kuandaa business plan. Kwa urahisi chukia abc mtandaoni ila kuandika hapa si suala dogo kama mleta mada anavyolichukulia maana hapo ni mambo ya mbegu,shamba maandalizi,mbolea,madawa,kitalu,huduma shambani,uvunwaji,soko etc
Uchoyo unaweza ukajibu mawili ichoyo ni dhambi kama zambi zingine hasa ile ya unzinzi
Uchoyo unaweza ukajibu mawili ichoyo ni dhambi kama zambi zingine hasa ile ya unzinzi
mkuu una ujuzi na hili zao?
huu msimu unaweza kulima kwa DAR?Naam nalifahamu vyema
huu msimu unaweza kulima kwa DAR?
😂😂 dah!Unaweza ukalima.alafu ukayala wewe na majirani zako tu