Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani mkuu.. kwn kwenye king'amuzi chako hakuna OPTION YA #Customer care??Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
HakunaSamahani mkuu.. kwn kwenye king'amuzi chako hakuna OPTION YA #Customer care??
Vyema, zama Google uliza kuhusu wao, natamani kukusaidia ila hata mm pia nashindwa kujua dogo alibonyeza wap [emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna
Fanya factory reset. Itascan channel zako upya na kuzipanga tenaNina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
Hiyo subtittle iko kama subwoofer ndani ya king'amuzi, usiiondoe unabahati wewe, k,k,k.Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?