Msaada king'amuzi cha Azam

Msaada king'amuzi cha Azam

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
 
Kuna wanaorudisha Kadi za CCM kwa kutobadili chaneli yao! Hawang'amui ya Wananchi.

Rudisha King'amuzi
Rudisha Kadi
😉😁
 
Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
Hiyo subtittle iko kama subwoofer ndani ya king'amuzi, usiiondoe unabahati wewe, k,k,k.
 
Mkuu kisimbusi cha Azam cha antenna ulichukua bei gani, je kipo vizuri
 
Back
Top Bottom