Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

Nilinunua hi-sense Kwa 1.1m baada ya muda ikazingua kioo kuulizia Bei wakasema 750,000 nikataka kuuza scraper fundi akasema ananunua Kwa 50,000 tu. Nikaumga dukani nikachukua TV ya 200,000 tu.
Mafundi kiboko
 
Nitumie model yake inbox niwatumie wadogo sema kupata bei mpaka J 4 maana kesho ni Mei mosi sio Big deal hicho kioo chake TV zinazosumbua ni Sony vitu vyao vina gharama sana na muda mwingine huwezi kupata hiyo Hisense, LG na Sumsung hao ndugu mmoja...
Sawaa mkuu nakutumia
 
Shida 80% ya tv zinazingua vioo, hivyo tofauti na dukani kwa fundi ni ngumu kupata mana nyingi shida ni hio,
Ngoja kuna mtu nimuuliziee,
Pole.
Vioo vya Tv vingekua kama simu ingekua poa sana, unakuta dude limepasuka unaona battery ila inapoga kazi, tena kumbuka ni touch.

Kuliko kumuuzia fundi kwa 50k, bora uitumie kama boxing punch wall, ni dharau.
 
Ushauri wangu ni bora ununue tv mpya,hicho "Kioo" hata ukibadili huwezi kupata ile quality ya picha kama mwanzo ukiachilia mbali gharama za kubadili screen nyingine ambayo kupata og sio rahisi japo watakaotaka kukuuzia watakwambia ni og,

Yangu ni hayo tu,the rest it's up to you.
 
Back
Top Bottom