and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Tukumbushe Tena Bei ya TV mpyaKioo Bei yake 400k
Ufundi 30k
Usafirishaji wa kioo kutoka dar ni 20k
Kwa nilivyoambiwa na fundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukumbushe Tena Bei ya TV mpyaKioo Bei yake 400k
Ufundi 30k
Usafirishaji wa kioo kutoka dar ni 20k
Kwa nilivyoambiwa na fundi
Kioo kama sio smart tv nadhani itakua bei nafuu tuu...Tv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
Bei ya tv mpya 650kTukumbushe Tena Bei ya TV mpya
Fundi yupi wa kununua TV mbovu Kwa 380,000?Muuzie fundi hio Tv kwa 380k
wewe ongezea elfu 70 unapata nch 43 nyingine used
Ni smart TV mkuuKioo kama sio smart tv nadhani itakua bei nafuu tuu...
Akili ni nywele 650 Vs 450Bei ya tv mpya 650k
Fundi maikoFundi yupi wa kununua TV mbovu Kwa 380,000?
TV hizi za Sasa hivi nyingi feki wachina wanachonga hizo logo tu sijui Hisense, Samsung ili kuwapiga mazombiKioo kama sio smart tv nadhani itakua bei nafuu tuu...
Fundi yupi anayenunua kwa hii bei mkuuMuuzie fundi hio Tv kwa 380k
wewe ongezea elfu 70 unapata nch 43 nyingine used
Uza hiyo TV kama spare kwa mafundi, pesa ongezea nunua nyingineTv nilinunua 650k kwa Bei za mikoani tetesi nasikia kioo ni 400k nilivyouliza kwa fundi
Nitumie model yake inbox niwatumie wadogo sema kupata bei mpaka J 4 maana kesho ni Mei mosi sio Big deal hicho kioo chake TV zinazosumbua ni Sony vitu vyao vina gharama sana na muda mwingine huwezi kupata hiyo Hisense, LG na Sumsung hao ndugu mmoja...Ni smart TV mkuu
Mafundi kibokoNilinunua hi-sense Kwa 1.1m baada ya muda ikazingua kioo kuulizia Bei wakasema 750,000 nikataka kuuza scraper fundi akasema ananunua Kwa 50,000 tu. Nikaumga dukani nikachukua TV ya 200,000 tu.
Fundi yupi wa kununua TV mbovu Kwa 380,000?
Sawaa mkuu nakutumiaNitumie model yake inbox niwatumie wadogo sema kupata bei mpaka J 4 maana kesho ni Mei mosi sio Big deal hicho kioo chake TV zinazosumbua ni Sony vitu vyao vina gharama sana na muda mwingine huwezi kupata hiyo Hisense, LG na Sumsung hao ndugu mmoja...
Pole SanaNiko Songea mkuu tv nilinunua kwenye duka la electronic ata nilivyouliza kuhusu kupata kioo kingine wahafahamu
Hisense? Ina miaka mingapiMimi TV yangu gafra haioneshi kitu inatoa sauti tu sijui ndo kioo kimekufa