MSAADA KISAIKOLOJIA NINAANGAMIA

Kutojitambua naweza sema lakini nimepima hepatitis b zaidi ya mara 6 sijakutwa na maambukizi

We jasiri sana aisee, yaani unajua mtu ni HIV positive bado unashiriki nae...
 
Mleta mada mjinga kweli, anacomplicate mambo.
Watu kama wewe ndiyo wanaojiua kisa mapenzi.
Au labda una tatizo lingine tofauti na uliyoyataja hapo juu?
 
That was a big mistake I made, that is why najutuia kila wakati but kumbuka pia no one knows tomorrow so tusiwatenge
Ni kweli mkuu sijakataa,ila umewahi fikiria ingekuwa wewe na hayo matatizo,je angekuwa na wewe??
 
Mkuu kwanza now hutakiwi hata kidogo kuwa depressed,ungemshukuru mungu kukuepusha na hayo matatizo,cause now sijaona tatizo la kukufanya unung'unike
 
BADO UNA NAFASI YA KUACHA VYOTE NA KUANZA UPYA.....USIKATE TAMAA KABISA

JITATHMINI UPYA USIJIFUNGIE NDANI SIO SULUHISHO LA KUDUMU
 
Mkuu vp usharud hospital maendeleo yako yakoje
 
Mkuu vp usharud hospital maendeleo yako yakoje
Yeah mkuu nimeanda nimekutwa na acid reflux pamoja na bacteria infection kwenye damu nimeandikiwa dawa za kunywa rabeprazole, clarithromycin na relcer gel ndio naanza leo mkuu
 
BADO UNA NAFASI YA KUACHA VYOTE NA KUANZA UPYA.....USIKATE TAMAA KABISA

JITATHMINI UPYA USIJIFUNGIE NDANI SIO SULUHISHO LA KUDUMU
Assante sana mkuu ubarikiwe
 
Mkuu maana nami nashida hiyo kama yako tumbo kujaa gesi maumivu ya tumbo upande wakulia karibu na mbavu tumbo kuunguruma na kutoa gesi vp ulikwenda hospitali gani ukafanyiwa hivo vipimo nani vipimo gani ulifanyiwa na ulionana daktar gani ya magonjwa gani..maana umenbiwa umepewa dawa zakutumia..miniko mkoani nataka kuja dar kwa ajili ya matibabu..msaada wako mkuu kama hutajali
 
Vidonda vya tumbo vp hukukutwa navyo..nahayo masaratani uliokua unayasemea vp nayo
Nlipomueleza daktari shida zangu alimaua kunifanyia full blood count, kacheki na choo then ndio nkapata hayo majibu, kuhusu kansa hakucheki kabisa kwa jinsi nlivyomsimulia
 
Nlifanyiwa full blood count pamoja na choo mkuu then ndio majibu yalitoka kama ilivyo hapo juu nlivyoeleza
 
Nlipomueleza daktari shida zangu alimaua kunifanyia full blood count, kacheki na choo then ndio nkapata hayo majibu, kuhusu kansa hakucheki kabisa kwa jinsi nlivyomsimulia
Full blood cout ndo inakuje hiyo
 
Nlipomueleza daktari shida zangu alimaua kunifanyia full blood count, kacheki na choo then ndio nkapata hayo majibu, kuhusu kansa hakucheki kabisa kwa jinsi nlivyomsimulia
Ulionana nadaktar aliespecialize ktk nin
 
Mbona unashindwa kujieleza ueleweke...ama elimu yako haijakusaidia kitu...ujui kufupisha habari...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…