Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana nameless girl,msimamizi anagawa mali zile kwa watoto wa marehem tu au pia na ndugu wa marehem kama dada zake na mama yake marehem?Msimamizi wa mirathi anapaswa kufanya mgawiwo huo ambapo ni vizuri zaidi mkasimamiwa na watu wakubwa wakati wa kugawana. Baada ya hapo, msimamizi wa mirathi atapeleka taarifa juu ya mgawiwo huo na mahakama itaangalia kama mmeridhia...
Samahani naomba kujulishwa mgawanyo wa mirathi kisheria iwapo baba alifariki akaacha watoto wakiwa madogo mahakama na ukoo wa baba ukateua msimazi wa mirathi sasa watoto wameshafikisha miaka 18 wanafuata taratibu zipi kupata haki yao kila mmoja
Nashukuru sana nameless girl,msimamizi anagawa mali zile kwa watoto wa marehem tu au pia na ndugu wa marehem kama dada zake na mama yake marehem?
Msimamizi wa mirathi anapaswa kufanya mgawiwo huo ambapo ni vizuri zaidi mkasimamiwa na watu wakubwa wakati wa kugawana. Baada ya hapo, msimamizi wa mirathi atapeleka taarifa juu ya mgawiwo huo na mahakama itaangalia kama mmeridhia...
Kwa mujibu wa sheria za nchi na wosia haukuachwa, kama baba amefariki warithi wa marehemu watakuwa ni watoto na mke wa marehem.
ndugu si warithi hapo hivyo hawahusiki.
Vp mama wa marehemu nae ni mrithi?
Kwa kuwa sheria inayotumika hapo ni sheria za nchi, mama wa marehemu si mrithi. ingekuwa ni sheria za kiislam basi mama wa marehemu angekuwa ni miongoni mwa warithi.
Ni hv ndugu yangu DUNIA TABU mimi na mke wangu tumefariki lakin wakati huo tulikua na watoto wanne,wawil kiume hawa mmoja wa kwanza mmoja wa mwisho na wawil wakike,baadae mtoto wa kwanza wa kiume kafarik wamebak madada na mdogo wao wa kiume ambao hao wote wanangu watatu waliobak wana watoto wao ambao n wajukuu zangu na hata yule kaka yao mkubwa alyefarik aliacha watoto wawil wa kiume ambao nao n wajukuu zangu,sasa hapo urith unagawiwaje ksheria za nch,n wakristo,mila zao n watu wa mbeya.
Mpwa vipi kuhusu mrejesho ulipoenda kwa 'mtaalam' kuwafanyia walokuibia vifaa vya gari??? Nina hamu ya kuupata aseeWanakuja! ingekua cc, wajukuu hawana haki ya urithi kisheria!