kama bado haijaanza kusikilizwa na kama pleadings bado hazijakamilika unaweza kuweka pingamizi muda wowote ..lakini kama pleadings (nyaraka za kesi za pande zote mbili) zimekalika na hatua inayofuatia ni kusikilizwa unapaswa kuiombaa mahakama ikuruhusu kuweka pingamizi hilo......