Msaada kisheria kuhusu pingamizi mahakamani

Msaada kisheria kuhusu pingamizi mahakamani

Madai na bado iko hatua ya kutajwa bado kusikikizwa ila nimeona mapungufu kwnye documents kadhaa
 
Madai na bado iko hatua ya kutajwa bado kusikikizwa ila nimeona mapungufu kwnye documents kadhaa
kama bado haijaanza kusikilizwa na kama pleadings bado hazijakamilika unaweza kuweka pingamizi muda wowote ..lakini kama pleadings (nyaraka za kesi za pande zote mbili) zimekalika na hatua inayofuatia ni kusikilizwa unapaswa kuiombaa mahakama ikuruhusu kuweka pingamizi hilo......
 
Back
Top Bottom