Jonathan ishengoma
Member
- Apr 18, 2017
- 45
- 40
Je pingamizi LA awali laweza kuwekwa hata baada ya kesi kuanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaposema kesi imeanza unamanisha nini....ushahidi ushaanza kutolewa au? ...na kesi gani ya jinai (criminal) au madai (civil)?Je pingamizi LA awali laweza kuwekwa hata baada ya kesi kuanza?
kama bado haijaanza kusikilizwa na kama pleadings bado hazijakamilika unaweza kuweka pingamizi muda wowote ..lakini kama pleadings (nyaraka za kesi za pande zote mbili) zimekalika na hatua inayofuatia ni kusikilizwa unapaswa kuiombaa mahakama ikuruhusu kuweka pingamizi hilo......Madai na bado iko hatua ya kutajwa bado kusikikizwa ila nimeona mapungufu kwnye documents kadhaa