Msaada kisheria

Msaada kisheria

Indungu

Senior Member
Joined
Nov 1, 2013
Posts
172
Reaction score
37
Wasalaam ndugu zangu,
Naomba kupata msaada au ushauri wa kisheria,
Kwa kifupi no kuwa ,kuna jamaa aligonga gari yangu kwa uzembe wake ikiwa imepaki, alisababisha uharibifu mkubwa sana kiasi kwamba gari haitengenezeki,

Serikali ilimkamata na kumfikisha mahakamani na kumkuta na hatia,akalipa faini akachiwa na mimi nikafungua kesi ya madai juu ya chombo changu kilicho haribiwa

Akadai bima italipa ukafanyika utaratibu,Ila bima wamelipa hela kidogo kulingana na bima tulizokatia kwenye gari zetu in third part,

Sasa je naweza kuendelea kumdai huyu jamaa aongeze kiasi ili kufikia malengo ya kiasi kinachotakiwa??
Man kesi bado iko mahakamani
Nitashukuru sana kwa ushauri wenu
 
Jmn wanasheria mko wapi mteja huyu hapa, ngoja waje soon
 
Kwaio hio fidia iliyolipwa mahakamani alipewa nani? Wewe mahakama haikukutambua? Hapa ndipo uliponiacha mpaka nashindwa nikusaidie vp mkuu?
 
Back
Top Bottom