Msaada,Kiswahili lugha ngumu sana

Msaada,Kiswahili lugha ngumu sana

ndandambuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
948
Reaction score
641
1:Mzazi wa mke na mzazi wa mume wanaitanaje?
2:Mliyeoa naye familia moja utamwitaje?
 
Kwa hiyo kumbe Kiswahili siyo Lugha yako? Basi naelewa kwa nini kinakupa shida!
Na ndio maana nimeuliza mwenye lugha hawezi kuuliza,bila shaka hata wewe sio lugha yako ndio maana huna majibu
 
Back
Top Bottom