ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
1:Mzazi wa mke na mzazi wa mume wanaitanaje?
2:Mliyeoa naye familia moja utamwitaje?
2:Mliyeoa naye familia moja utamwitaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha yanguKwani lugha ipi ni rahisi?
Lugha yangu
Na ndio maana nimeuliza mwenye lugha hawezi kuuliza,bila shaka hata wewe sio lugha yako ndio maana huna majibuKwa hiyo kumbe Kiswahili siyo Lugha yako? Basi naelewa kwa nini kinakupa shida!
Na ndio maana nimeuliza mwenye lugha hawezi kuuliza,bila shaka hata wewe sio lugha yako ndio maana huna majibu
Nataka majibu staki sogaMimi Kiswahili ni Lugha yangu, ndo Lugha yangu ya kwanza, na ndiyo Lugha ninayoijua kuliko Lugha yoyote ile Dunia hii!
Hujui halafu unajifanya unajua,subiri waje wataalam wa lugha wewe nawe kama mimi tu.Nimeshajibu ulichoniuliza!
2: mtwasi1:Mzazi wa mke na mzazi wa mume wanaitanaje?
2:Mliyeoa naye familia moja utamwitaje?
1: Kivyere1:Mzazi wa mke na mzazi wa mume wanaitanaje?
2:Mliyeoa naye familia moja utamwitaje?
Uliyezaa naye si utamwita mzazi mwenzio pia?1. Wazazi wenzao
2. kaka