Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 586
- 1,013
Asante kwa michango yenu wote.Ila swali moja hamjajibu course za Sido ni muda gani na wanahitaji elimu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmefikia wapi?Familia yetu tuna idea kama yako lakini plan ni pale tutakapoweza kuzalisha maziwa yetu at least kuanzia lita 300 hadi 1000 kwasasa tuna lita 80 kwa siku Mungu akijaalia mwakani mwezi wa 6 tutakuwa na uwezo wa kuzalisha lita 150. Tuko meli moja ushauri utakaotolewa utasaidia wengi
kweli mkuuKabla ya yote, onana na jamaa wa TFDA ili wakuambie 'sera' zao kuhusu mradi huu.
Maana, unaweza ukawekeza sana, halafu jamaa hawa wakaja kupiga kufuli kiwanda chako.
Jamaa hawa kero sana hawa..!!
namimi nahitaji msaada wako ktk kusajili bidhaa zanguKaka,TFDA na TBS ni taasisi mbili tofauti na ziko chini ya wizara mbili tofauti.
TFDA iko chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii na inasghurika na ubora wa dawa na chakula na usalama kwa mlaji LAKINI TBSA ipo chini ya wizara ya Viwanda,Biashara na Masoko yenyewe inashughulika na viwango vya ubora vya bidhaa vyote katika sekta zote
Naweza nikakusaidia namna ya kufuata procedure na kusajiriwa na hawa jamaa.
Asante
Mkuu wazo lako zuriNaomba ushauri nataka kujua vitu gan vinahitajika kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusindika maziwa na product zake zingine na mtaji ni sh ngapi inabid nitafute maana nataka nianze na iyo ila plan kubwa nataka kudeal na mazao ya kilimo kuyaprocess kwenye viwanda vidogo nitakavyoweza kuanzisha kadiri ya mungu atakavyojalia asante
TFDA wanakagua pia hatua za awaliMimi ninavyo jua TFDA au TBS hutoa kibali kwa bidhaa ambayo tiyari imeisha anza kazi, TBS hawawezi kukupa kibali halafu ndo ukaanze kutafuta mitambo even TFDA kwa sababu wanakuja kukagua production yako ndo wakupe kibali, so chakufanya hata ukiwaona watakupatia mwongozo tu na wewe utaanza kazi n then watakuja kukagua kuona kama unafuata mashariti yao ndo sasa upewe kibali rasimi au la.
Huwezi pewa kibali kabla hujaanza productions na TBS hivyo hivyo ni lazima uanze kwanza ndo waje kukagua na wana tabia ya kufanya ukaguzi wa kushitukiza utashangaa gari inafunga break mlangoni kwako, so unatakiwa kuhakikisha walio kuambia unayafuata yote.
Mkuu habari. Niko kibaha nahitaji huduma ya Mpangara biashara naanzisha usindikaji wa maziwaWazo zuri na Hongera sana, ushauri wangu unahitaji upate roadmap na njia pekee ni kutengeneza business plan mkuu wangu. I can volunteer to guide you and any one who need to come with such kind of projects. Thanks