Msaada: Kodi ya Suzuki Carry

Msaada: Kodi ya Suzuki Carry

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
Kwa mtaalamu wa haya mambo.Kuna haka ka gari suzuki carry 2001 nimekapenda. Nimeona bei yako FOB ni 816 $ na ukichanganya na transport mpaka port ya Dar es salaam inakuja mpaka $ 1950 ambayo roughly ni 3,700,000 TZS, nilitaka kujua hapo TRA wanaweza wakaweka kodi kiasi gani hapo. Inaweza kufika 6,000,000 ukijumlisha na bei ya gari.

Specification yake ni

Engine cc 650
Yom 2001
Weight 650 kg
Mileage 127,000
 
Kwa mtaalamu wa haya mambo.. Kuna haka ka gari suzuki carry 2001 nimekapenda. Nimeona bei yako FOB ni 816 $ na ukichanganya na transport mpaka port ya Dar es salaam inakuja mpaka $ 1950 ambayo roughly ni 3,700,000 TZS, nlitata kujua hapo TRA wanaweza wakaweka kodi kiasi gani hapo. Inaweza kufika 6,000,000 ukijumlisha na bei ya gari?

specification yake ni

engine cc 650
yom 2001
weight 650 kg
mileage 127,000

Mambo vp kamanda! Kwa specs za hiyo gari ushuru wake ni 3,303,000 tsh na kama ukijumulisha bei zoote mpaka kuli clear gari kabisa bandarini DSM itafika kwenye 8.1Mil (ukijumlisha na 1950$ ya gari na kusafirisha). Au unaweza kudownload calculator ambayo ni rahisi kutumia kujua ushuru wake LINK: Gariexpress | Excellent condition cars » Tax Calculator

Kwa msaada zaidi unaweza kupata gari lenye specifications kama unalohitaji kwa 8.5Mil kutoka kwenye yadi zetu za hapahapa. Magari ni mapya yameagizwa kutoka japan na yapo kwenye hali nzuri.

Thanks
Gariexpress.com
Support.
 
Wekeni namba basi
 
Wekeni namba basi

Kwa msaada zaidi unaweza kupata gari kutoka kwenye yadi zetu za hapahapa. Magari ni mapya yameagizwa kutoka japan na yapo kwenye hali nzuri.

Thanks
Gariexpress.com
Support.
0765072175 / 0786987248

Back
Top Bottom