Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Kwa mtaalamu wa haya mambo.Kuna haka ka gari suzuki carry 2001 nimekapenda. Nimeona bei yako FOB ni 816 $ na ukichanganya na transport mpaka port ya Dar es salaam inakuja mpaka $ 1950 ambayo roughly ni 3,700,000 TZS, nilitaka kujua hapo TRA wanaweza wakaweka kodi kiasi gani hapo. Inaweza kufika 6,000,000 ukijumlisha na bei ya gari.
Specification yake ni
Engine cc 650
Yom 2001
Weight 650 kg
Mileage 127,000
Specification yake ni
Engine cc 650
Yom 2001
Weight 650 kg
Mileage 127,000