Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

Beep zipo ngapi zisikilize na taa zipo ngapi zinawaka kwa muendelezo upi? Ni rahisi kujua tatizo lakini mpaka maelezo yako yakae sawa.

Kama huelewi chukua video post humu.
Mkuu nikiiwasha wakati inapokea moto zinawaka taa 2 za njano moja ni ya disc na nyingine ni ya power sekunde kama 2 tuu zinakata na inawaka taa nyekundu na inawaka kwa ku-blik kama endcator na inaambatana na alarm inapiga mara tano 5 kisha inakata inapiga tena na tena na mwisho alarm inakata lakini ile taa inaendelea kwa stail ile ile na hapo feni linakuwa linaendelea kuzunguka kama kawaida MKUU NAOMBA KUWASILISHA
 
HP beep 5 na taa nyekundu ni tatizo la memory.

Angalia ram zako kama zipo 2 chomoa then test moja moja. Kama una mtu karibu unaweza pia ukaazima.
 
Ndugu zangu wooote nawashukuru maana tatizo la pc yangu limekwisha nawashukuru nimefuata maelekezo na hatimae tatizo limekwisha na tena nimejifunza kitu kwenu hili ni somo ambalo hata wakati mwingine linaweza kunisaidia kabla sijaja huku ASANTENI ila shukrani za pekee zikufikie ndugu yangu chief-mkwawa
 
Mkuu nikiiwasha wakati inapokea moto zinawaka taa 2 za njano moja ni ya disc na nyingine ni ya power sekunde kama 2 tuu zinakata na inawaka taa nyekundu na inawaka kwa ku-blik kama endcator na inaambatana na alarm inapiga mara tano 5 kisha inakata inapiga tena na tena na mwisho alarm inakata lakini ile taa inaendelea kwa stail ile ile na hapo feni linakuwa linaendelea kuzunguka kama kawaida MKUU NAOMBA KUWASILISHA
Yangu pia ni Dell, inapiga alarm tano kwa sequence ya sekunde! Sijui shida nini wadau?
 
Back
Top Bottom