godfrey joseph chuwa
Member
- Jun 29, 2021
- 11
- 3
Mkuu nikiiwasha wakati inapokea moto zinawaka taa 2 za njano moja ni ya disc na nyingine ni ya power sekunde kama 2 tuu zinakata na inawaka taa nyekundu na inawaka kwa ku-blik kama endcator na inaambatana na alarm inapiga mara tano 5 kisha inakata inapiga tena na tena na mwisho alarm inakata lakini ile taa inaendelea kwa stail ile ile na hapo feni linakuwa linaendelea kuzunguka kama kawaida MKUU NAOMBA KUWASILISHABeep zipo ngapi zisikilize na taa zipo ngapi zinawaka kwa muendelezo upi? Ni rahisi kujua tatizo lakini mpaka maelezo yako yakae sawa.
Kama huelewi chukua video post humu.