Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 817 Reaction score 2,180 Sep 6, 2024 #1 Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,459 Reaction score 6,466 Sep 6, 2024 #2 ngoja wataalamu waje....
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Sep 6, 2024 #3 Candela said: Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani. Click to expand... Tusaidie kwanza nini maana ya. ROLI ili tulielewe swali
Candela said: Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani. Click to expand... Tusaidie kwanza nini maana ya. ROLI ili tulielewe swali