Msaada: Kozi ya diploma itakayonipa walau Tsh. 5,000 nikiwa mtaani, ada isizidi Tsh. Milioni 1 na kiwe chuo cha Serikali

Mkuu ada yake ni moto wa kuotea mbali ni kama milioni mbili + ipo hapo bugando alafu uwe ulifaulu physics ina ushindani balaa kwenue kudahiliwa

Ila kama una division one jaribu Benjamin mkapa hospital kuna chuo humo wanaifundisha ila utatuma maombi kupitia NACTE kuanzia mwezi wa 8, 9 au 10 hapo ada ni nafuu tatizo competition na kuingia hapo ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Diploma yake inaitwa radiology
Degree yake inaitwa DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY

Yaani uwe mtaalamu wa mambo ya ultrasound x ray CT scan n.k

Ila kwa haraka haraka kulingana na ombi lako nenda VETA KIPAWA kasomee ufundi simu LEVEL 1, 2 &3 Kisha piga TV maintenance una malizia na COMPUTER maintenance
Ada ni kama laki 8 kwa vyote (sina uhakika) muda ni kama miezi 8 au 9

Kila lakheri mkuu
Mkuu hivi hawa NACTE wanaachia maombi ya diplomas miezi ipi? Maana kuna mtu wangu anataka kusoma diploma chuo flani, kila siku naangalia kama updates kwenye chuo husika lkn hola...
 
niko nje ya bongo. kwa bongo kazi ina majaribu sana ya washirikina watu washenzi
Npe changamoto mbil tatu maana nmeona sehemu ada lak na 40 mwez mmoja unapata na chet pia stak kutupa hela, hawa wachaw wanamajaribu gan katka hi fani?
 
Veta nmesoma tangazo lao lakn sjaona mambo ya computer wala tv maintainance

Zipo, VETA fani zinatofautiana kati ya chuo kimoja na kingine. Hivyo, unahitaji kuangalia kwenye vyuo vyao tofauti.

Binafsi, ningeshauri ujitambue ni nini unachokikubali na kina kinalipa mtaani. Baada ya hapo ukasomee hicho.
 
Yaani utumie 1M kuja kutafuta 5k per day.....???
Mdogo wangu kweli umaskini unaugopa au unaigiza kuuogopa..?
 
Mkuu ada yake ni moto wa kuotea mbali ni kama milioni mbili + ipo hapo bugando alafu uwe ulifaulu physics ina ushindani balaa kwenue kudahiliwa

Ila kama una division one jaribu Benjamin mkapa hospital kuna chuo humo wanaifundisha ila utatuma maombi kupitia NACTE kuanzia mwezi wa 8, 9 au 10 hapo ada ni nafuu tatizo competition na kuingia hapo ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Diploma yake inaitwa radiology
Degree yake inaitwa DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY

Yaani uwe mtaalamu wa mambo ya ultrasound x ray CT scan n.k

Ila kwa haraka haraka kulingana na ombi lako nenda VETA KIPAWA kasomee ufundi simu LEVEL 1, 2 &3 Kisha piga TV maintenance una malizia na COMPUTER maintenance
Ada ni kama laki 8 kwa vyote (sina uhakika) muda ni kama miezi 8 au 9

Kila lakheri mkuu
DDR ofcourse kazi atapata, mchawi akili zipo za kusomea hicho kitu.
Kama zipo aende tu
 
Koz inaitwaje
Mortuary attendant, Muhimbili ipo na Tumbi wanaiwekaga periodically kulingana na uhitaji.
Kazi yake ina hela sana kama moyo upo. Laki 2/3 kwa low season huwezi kukosa per week. High season kama kipindi cha Korona kile, walikuwa wanakunja mpaka 5M per week.
 
Kuna ka binti ka kichaga karembo kweli kweli kapo hospitali ya rufaa ya mkoa jina (kapuni) kananyanyua maiti peke yake na kuziweka kwenye toroli

Ofisi yake ipo huko huko mortuary ila ikifika mida mibovu kwenye saa 8 usiku kanaanza kupiga misele kila wodi kujaribu kuona kama kuna maiti yeyote

Ukikutana nako barabarani huwezi kukadhania tena kana miwani

Hapo hapo kuna kijana pia ni handsome ila hiyo ndio kazi yake huwa anavaa vizuri na kutupia koti jeupe utadhani ni daktari kumbe ofisi yake ni wodi namba zero

Hiyo kozi kama angekuwa na basics za afya ingemfaa tatizo mefical attendant ilishafutwa
 
Ada zpoje kwa short course
Short course zipo nyingi ukifika hspo kipawa utajichagulia kulingana na uhitaji wako tena ni unapiga miezi kadhaa sio miaka

Kisha unaingia mzigoni unaanza kukunja hiyo elfu tano unayoitaka tena ada zao nafuu kabisaa
 
Ngoja nchek hyo ya ufundi simu na tv
 
Kuna ka binti ka kichaga karembo kweli kweli kapo hospitali ya rufaa ya mkoa jina (kapuni) kananyanyua maiti peke yake na kuziweka kwenye toroli

Ofisi yake ipo huko huko mortuary ila ikifika mida mibovu kwenye saa 8 usiku kanaanza kupiga misele kila wodi kujaribu kuona kama kuna maiti yeyote

Ukikutana nako barabarani huwezi kukadhania tena kana miwani

Hapo hapo kuna kijana pia ni handsome ila hiyo ndio kazi yake huwa anavaa vizuri na kutupia koti jeupe utadhani ni daktari kumbe ofisi yake ni wodi namba zero

Hiyo kozi kama angekuwa na basics za afya ingemfaa tatizo mefical attendant ilishafutwa
HII ntaifatilia kwa umakin sana inaweza ikanitoa, chamuhmu n roho ngumu t
 
Nenda kasomee Ordinary diploma in Railway Transportation ni miaka miwili inatokewa chuo kimoja tu Tanzania kinaitwa TIRTEC kipo Tabora ukimaliza hapo Unaajiriwa Kwa urahisi kabisa Shirika la Reli TRC Tena utakua na option uajiriwe kama station master au wakunakize kama lecturer hapo chuoni Kwa kuwa tayari una degree ya ualimu....Utakuja kunishukuru baadae (SGR PROJECT IS THE ORDER OF THE DAY )
 
Back
Top Bottom