mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Raisi kakataza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nataman kununua nguo mitandaoni hasa from dubai baibuiz abayaz n the likes sema natafuta kampuni resonabo zinazotengeneza nguo ili ninunue on cheap ww unanunuaga wap mkuumie nimekuwa nikiagiza sana vitu tofauti tofauti na nimekuwa nikivipata katika alibaba/aliexpress na natumia visa card, ukiwa na hizi card haina haja ya kujisajiri paypal kitofauti, may be nikupe expereience yangu nakuangiza nguo nguo, mara nyingi nguo inavyoonekana mtandaoni inakuwa ya kuvutia sana sana ikija haiji vile ulivyotarajia yaani some of them zinakuwa kweli vile,vile ila zingine kwakweli haziwi vile vile hii imekuwa changamoto kwangu ingawa mie ninaagizaga zangu mwenyewe na ndugu zangu na sio za kuuza.
Wewe jamaaa hukuwahi kabisa kuagiza au kufanya biashara na hawa jamaaa,mm mwak jana nilitaka DISPLAY YA CM ,nika join kwa email,unachagua bidhaa then unakabidhiwa mtu ambaye uhusika na bidhaaa hiyo tena kwa namba ya cm,utachat nao kwa kutumia fb,whatsapp na mengine,hawa jamaaa hawana longolong tena ndan ya siku saba mzigo wako umefika hapa bongo.funga safari uende mkuu...hao Alibaba ni waarabu si watu wa kuaminika sana, wana uswahili mwingi tu...wachina wenyewe wa mitandaoni ndiyo kabisa...
...utalizwa mkuu halafu ujute na kama mtaji wako ni mkopo wa bank itakuwa hasara mara mbili....pesa imekwenda na deni la benki unadaiwa ambalo itabidi ulipe kwa njia mbadala.
Online transactions kwa uzofu wangu unaweza kufanya na wazungu au wajapan...wapuuzi wengine kama waarabu, wahindi(nafuu kidogo wahindi), na wachina, si wa kuaminika!
...Wabongo ndiyo kabisaa...weezi watupu wamejipanga kuanzia Asia mpaka Ulaya...hao, waogope kama ukoma!
funga safari uende mkuu...hao Alibaba ni waarabu si watu wa kuaminika sana, wana uswahili mwingi tu...wachina wenyewe wa mitandaoni ndiyo kabisa...
...utalizwa mkuu halafu ujute na kama mtaji wako ni mkopo wa bank itakuwa hasara mara mbili....pesa imekwenda na deni la benki unadaiwa ambalo itabidi ulipe kwa njia mbadala.
Online transactions kwa uzofu wangu unaweza kufanya na wazungu au wajapan...wapuuzi wengine kama waarabu, wahindi(nafuu kidogo wahindi), na wachina, si wa kuaminika!
...Wabongo ndiyo kabisaa...weezi watupu wamejipanga kuanzia Asia mpaka Ulaya...hao, waogope kama ukoma!
Hata mimi nina idea kama yako mkuu but mimi napendelea women handbags and shoes
Mbona mkuu unafanya conclusion kwa chuki kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kupitia stori za vjiweni.Una uhakika hao Alibaba ni waarabu?ALIBABA ni neno la Kiarabu maana yake kwa kiswahili ni MWIZI!!! Kwa hiyo kuwa makini kaka.
...hao Alibaba ni waarabu