Msaada kuangalia Copa America

Msaada kuangalia Copa America

Bein sport 1 HD au Setanta Ireland zote izo ziko Mobdro.
 
Supersport wanaonyesha!kwa leo ni kuanzia saa saa tisa mechi ya kwanza na 11 na nusu mechi ya pili.
 
Hahahaa mimi ni Mtz mkuu, iyo ni ID tu siunajua tena wabongo kwa kupenda majina ya nje...hapa kwetu huwezi kuta mtu anajiita eti ngofilla ama gongolamboto hii si balaa jamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mi pia ni mtanzania kabsaa, sema ndo nimejistiri na jina la ki polish kodogo
 
Yaani wewe basi tu..ulikuwa wapi cku zote izi hujapost kitu kama hichi kilichoenda shule?
Hahahaha! Watu wanakazania Europe na Kombe la Dunia, kuna michuano mitamu kuliko tunavyojua duniani, Copa America ni mojawapo...mi nilishawahi kushuhudia michuano yao miaka ya nyuma kidogo, ya mwaka huu sijabahatika kuziangalia zaidi ya kwenye youtube tu...nashangaa tunapata shida kuziangalia...ingawa shida ni mida yao kwetu huku!!
 
Back
Top Bottom