Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
Waswahili huita shezniAvatar yako inasomekaje kiswahili?
Lakini ni la ki poland, na ki polish
Linatamkwa stensnei or stensni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waswahili huita shezniAvatar yako inasomekaje kiswahili?
Nimewapigia simu lakini hakuna msaada
Kweli maajabu hayaishi dunianWaswahili huita shezni
Lakini ni la ki poland, na ki polish
Linatamkwa stensnei or stensni
Siyo maajabu ni jina tuuKweli maajabu hayaishi dunian
Ban mkuuMkuu umetususa kule
Mi nikajua umesafiri
Poleee na karibuBan mkuu
Asante nimeshakaribiaPoleee na karibu
FureshiAsante nimeshakaribia
Fureshi
Siyo maajabu ni jina tuu
Sema la kipolish, kwa hiyo usilieke kwenye maajabu hilo
Fureshi ni swagger tuu tena ya vijanaFureshi=Fresh ama Freshi
Wewe ni mcossovo!!? Nauliza tuu piaWewe ni mpoland? Nauliza tu
Copa America, michuano mitamu kuliko zote duniani ni kama Kombe la Dunia
Wewe ni mcossovo!!? Nauliza tuu pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa mimi ni Mtz mkuu, iyo ni ID tu siunajua tena wabongo kwa kupenda majina ya nje...hapa kwetu huwezi kuta mtu anajiita eti ngofilla ama gongolamboto hii si balaa jamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi pia ni mtanzania kabsaa, sema ndo nimejistiri na jina la ki polish kodogo
Hahahaha! Watu wanakazania Europe na Kombe la Dunia, kuna michuano mitamu kuliko tunavyojua duniani, Copa America ni mojawapo...mi nilishawahi kushuhudia michuano yao miaka ya nyuma kidogo, ya mwaka huu sijabahatika kuziangalia zaidi ya kwenye youtube tu...nashangaa tunapata shida kuziangalia...ingawa shida ni mida yao kwetu huku!!Yaani wewe basi tu..ulikuwa wapi cku zote izi hujapost kitu kama hichi kilichoenda shule?