Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Habari,

Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
 
Unasumbuliwa na Anxiety disorder, ambayo mm nna mwaka wa3 inanisumbua ila naweza kuicontrol

humu kuna mada nyingi sana zinazohusiana na disorders tafuta mkuu utapata majibu
 
Kama umeshajua tatizo ni msongo wa mawazo fikiria nini kinacholeta msongo huo upambane nacho. Proscribed medicines kwa matatizo hayo iwe ni hatua ya mwisho kuifuata kwani dawa mara nyungzinakufanya uwe deoendent on them.
 
Ntakuchek inbox...
 
Unasumbuliwa na Anxiety disorder, ambayo mm nna mwaka wa3 inanisumbua ila naweza kuicontrol

humu kuna mada nyingi sana zinazohusiana na disorders tafuta mkuu utapata majibu

Naomba unitumie hiyo link ya disorders plss
 
mfatilie education mentor hapa Jf utapata mwangaza
 
Kama umeshajua tatizo ni msongo wa mawazo fikiria nini kinacholeta msongo huo upambane nacho. Proscribed medicines kwa matatizo hayo iwe ni hatua ya mwisho kuifuata kwani dawa mara nyungzinakufanya uwe deoendent on them.
nimejitahidi saana kuachana na hizo stress lakini wapi nahisi hii ni impact ya hizo stress so naona zinanirudisha tena kule kule.
 
mkuu unaniongezea stress gharama wa kumuona dokta wa mambo ya ubongo sijui akili nitazimudu wapi??
sasa mbona hapo unalalamika gharama kama pesa sio tatizo...tena unasema zotakuongezea stress mana "utazimudu wapi"....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pesa nnazo za kuntosha tuu na maisha yangu mkuu
hiyo stress ni ya vyuma tuuuuu....jiwe noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa mbona hapo unalalamika gharama kama pesa sio tatizo...tena unasema zotakuongezea stress mana "utazimudu wapi"....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo stress ni ya vyuma tuuuuu....jiwe noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙄🙄 mhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…