Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo

Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo

Habari,

Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.

unasubiri nini kuonana na Psychatrist na clinical psychologist?
mbona wamejaa pale MNH na wamesoma kuwasaidia watu kama nyie...mtu mzima mpaka unajikojolea afu unategemea kupuuzia kutakusaidia!
Huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine nenda hospitali upate tiba ya kidawa na ya kisaikolojia...utaambiwa vitu vya kukusaidia!
wengi hapa watapiga ramli tu!
 
Back
Top Bottom