Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo

Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo

Habari,

Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
1- Unahitaji kwenda Hospitali Ukaonane na Psychiatric Doctor.
Inawezekana ulishakutana na kitu ambacho kimesababisha PTSD (Post traumatic Stress Disorder) na ukashindwa kusema hapa.
Na pia inawezekana ni tatizo tu la enxiety disorder, mara nyingi dalili zake ni kama hizo maumimuvu ya kichwa yanayojirudia mara kwa mara. Wapo wanaopata pia maumivu haya (migraine) wakiwa katika matibabu ya matatizo mengine kama vile cerebral meningitis, na kuwatuliza ni mpaka Narcotic drugs (e.g Tramadol) au ika alternate na Diclofenac.
Lakini Enxiety Disorder huwa inahitaji dawa ambazo wanapewa wagonjwa wa akili kiujumla/vichaa (schizophrenia) na dawa zake zinahitaji monitoring ya mtaalamu wa pyschopharmacology ili kuangalia unaendeleaje na dozi ipunguzwe vpi, mana side effects zake si nzuri hasa zikiwa ni extra pyramidal effects kama vile dystonia, akinesia, parkinsonism, dyskinesia na neuroleptic malgnant syndrome japo extrapyramidal effects zinaweza sababishwa pia na dawa zingine tu mbali na za psychosis kama vile dawa za kuzuia kutapika.
Ukigoogle youtube uone video za hizo effect utanielewa kwanini nakuambia ukatibiwe hospital mbali na nyumbani, mana tunaweza kuambia dawa hapa zikakusaidia kisha kutokana na kwamba umeshindwa kumoderate amount of dosage, kwahiyo ukajiongezea depression na kisha kufanya panic actions ikiwemo kujiua.

snipa
 
Kumbe ukitumia dawa za wagonjwa wa akili unaweza pata parkinson. mimi nimetumia hizo dawa kwa muda mrefu ila nikiziacha tuu anxiety inajirudia yaani nakua na too much worries mpaka nakua na tremors/trembling, nakua na fear pia. sasa mkuu sio parkinson hiyo?
 
Umeshikilia mambo mengi yaliyokuumiza, usiyoyaweza unatamani yaliyokutokea yawe uongo yatokee kama ulivyopenda.
Pengine unaishi ulimwengu wa nadharia kuwaza mambo makubwa sana ambayo huwezi kuyatimiza kwa uwezo ulio nao. Angalia historia ya mahusiano yako pengine umeachwa mara kadhaa sasa unajiona huna dhamani tena.
Anza kujikubali kidogo kidogo yaliyotokea, uliyoyashindwa punguza kisha acha kuyawaza jipange upya wakati wowote waweza kubadilisha maisha yako.
Pole nakupenda sana na Mungu anakupenda pia jidhanimini.
 
Kumbe ukitumia dawa za wagonjwa wa akili unaweza pata parkinson. mimi nimetumia hizo dawa kwa muda mrefu ila nikiziacha tuu anxiety inajirudia yaani nakua na too much worries mpaka nakua na tremors/trembling, nakua na fear pia. sasa mkuu sio parkinson hiyo?
Umetumia dawa gani na kwa muda gani ?
Na uliambiwa utumie dose kiasi gani ? Pia na nani ?
 
Nlimwona daktari akanipa dose ya olanzapine 5mg na imipramine kwa muda wa mwaka mmoja, ila nlipoona tatizo haliishi linajirudia this year nkajiongezea dose nikawa nameza vidonge 4 vya olanzapine hapo tatizo likaisha akili ikatulia, nikaacha kutumia tena dawa. kilichobaki nna too much worries na fear, tremors. sasa najiuliza hii tremors/trembling ni parkinson disease au?
 
Pole mkuu Usiwaze mambo ambayo huyawez Fanya mazoez hasa soccer Pia Tafuta Mpenz anayekupenda Sana oa maisha ndo hayo utafika tu
 
Nlimwona daktari akanipa dose ya olanzapine 5mg na imipramine kwa muda wa mwaka mmoja, ila nlipoona tatizo haliishi linajirudia this year nkajiongezea dose nikawa nameza vidonge 4 vya olanzapine hapo tatizo likaisha akili ikatulia, nikaacha kutumia tena dawa. kilichobaki nna too much worries na fear, tremors. sasa najiuliza hii tremors/trembling ni parkinson disease au?
Samahani unaweza niambia gharama yahizo dawa maana najihisi me pia msongo wamawazo
 
Prescription ya aina hii huwa ni ngumu kupewa 1 year dosage without monitoring body response, na kawaida ni dawa nyingi huwa hivi.
Btw, dawa za schzophrenia ni muhimu kuacha mpaka uambiwe na aliyekuambia (medical practioner) mana huwa zinahitaji trick sana na response ya mwili kwa mwanaume na mwanamke huwa tofauti pia japo sio zote hazitumiwi na wajawazito.
Ulipopewa Alonzapine na Imipramine kama dosage ilitakiwa uwe unafanyiwa monitoring kwa kuangalia unarespond vipi your treatment,
Olanzapine hata ikiwa umefuata prescribed dosage ukiona side effects kama tremors unahitaji urudi hospitali, kwa mtaalamu aliyekuambia hivyo.
Sio dawa zote zinafikia desired effect kwa kiongeza tu dose, upo kwenye addiction na effect kama tremor ni alert inauokurudisha hospitali mana effects nyingne zinahitaji diagnosis ikiwemo kuangalia blood flow & biochemistry, heart rhythm n.k
Unapopewa dawa kinachoangaliwa ni ukubwa wa faida kuliko madhara, kwahyo kuongeza dosage ni kukalibisha madhara ya dawa husika ili kuongeza faida, kwahyo ni little trick tu inahitajika ndio mana kuna changes katka dosage na dawa husika, ndio mana wengine wanapewa amityprine, wengine Imapramine kwasabu ni less sedative na wengine wanatakiwa wawe sedated ili watulie na matatizo kama vile migraine na depression kiujumla.
Kwahiyo unahitaji kurudi hospitali ukafanyiwe diagnosis.
 
Sikupewa 1 year dosage moja kwa moja ila nlikua napewa 1 month dosage kila baada ya mwezi doctor alikua akiniasses. Safari hii nimeamia muhimbili kabisa so ndio ntakua natibiwa huko. Hizo tremors zilikuja baada ya kuacha kutumia dawa
 
Watafute watu wa kiroho wanasaidia sana,tulikuwa huko na sasa tuko huru kwa asilimia 100...
 
Last edited:
Samahani unaweza niambia gharama yahizo dawa maana najihisi me pia msongo wamawazo

Ni bora ukaonana na daktari kwanza akajua tatizo lako, mimi tatizo langu lilikua kubwa ndio maana wakanipa hizo dawa pia zinapatikana nakiette nadhani haizidi shs 400 kwa kidonge kimoja. Sasa hivi natibiwa muhimbili. Fika pale ulizia idara ya magonjwa ya akili umwone daktari umuelezee unavyojiskia yeye atakupa dawa kutokana na symptoms zako. Kama una bima itakua rahisi zaidi
 
Pole sana. Ungeenda kuonana Dr kwanza.
Kuna vitu vinasaidia kupunguza depression.
1. Kufanya mazoezi. Jitahidi kutenga muda hata wa kutembea asubuhi/ jioni kama mazoezi mengine huwezi.
2. Kunywa maji mengi. Itapunguza migraine.
3. Jiweke karibu na Mungu. Fuata hata watumishi wa Mungu kwa ushauri na maombi/ dua.
4. Jitenge na vitu vinavyo weza kutriger anxiety.

Ni hayo tu.
 
Habari,

Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
habari ndugu..
msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko inayotokea malengo yetu yasipotimia au tunayofikiri hatafanikiwa... kwa mfano kuwa na wasi wasi kwa jambo ambalo unafikiri halitokuwa sawa.....
msongo wa mawazo unaweza kujidhihirisha kwa kuumwa kichwa kwa muda mrefu, kukosa usingizi, hamu ya kula na hamu ya kufanya shughuli yoyote hata tendo la ndoa, unywaji wa pombe kupita kipimo na utumiaji wa dawa za kulevya.
Msongo wa mawazo husaidia mwili kupambana na hatari kwa kukimbia ama kukabiriana nayo ila ikiendelea husababisha uwezekano wa kupata kisukari, shinikizo la damu na saratani na huathiri mfumo wa kinga ya mwili

ushauri..
ni vizuri kuwa na malengo. tatizo ni kuwa mara nyingi malengo yetu hayaendani na uwezo wetu na tunaposhindwa inakuwa ni vigumu kukubali ukweli..
pia kuna madawa ya kutumia lakini sishauri ufike huko kwanya epukana tu na tamaa ya vitu usivyo viweza, kubaliana na kila jambo linalokukabiri, jilee mwenyewe na ujiendeleze kitaaluma, kuwa na matumaini kwa kile utakachoamua.
 
Habari,

Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
Habari,
Naomba uwasiliane na 0715343161 (Sister Happiness) atakusaidia katika kutatua tatizo lako la msongo wa mawazo.
Ahsante!
 
Habari,

Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
Nitafute mimi nipate kukutibia utapona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Back
Top Bottom