Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1- Unahitaji kwenda Hospitali Ukaonane na Psychiatric Doctor.Habari,
Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
1- Unahitaji kwenda Hospitali Ukaonane na Psychiatric Doctor.
Inawezekana ulishakutana na kitu ambacho kimesababisha PTSD (Post traumatic Stress Disorder) na ukashindwa kusema hapa.
Na pia inawezekana ni tatizo tu la enxiety disorder, mara nyingi dalili zake ni kama hizo maumimuvu ya kichwa yanayojirudia mara kwa mara. Wapo wanaopata pia maumivu haya (migraine) wakiwa katika matibabu ya matatizo mengine kama vile cerebral meningitis, na kuwatuliza ni mpaka Narcotic drugs (e.g Tramadol) au ika alternate na Diclofenac.
Lakini Enxiety Disorder huwa inahitaji dawa ambazo wanapewa wagonjwa wa akili kiujumla/vichaa (schizophrenia) na dawa zake zinahitaji monitoring ya mtaalamu wa pyschopharmacology ili kuangalia unaendeleaje na dozi ipunguzwe vpi, mana side effects zake si nzuri hasa zikiwa ni extra pyramidal effects kama vile dystonia, akinesia, parkinsonism, dyskinesia na neuroleptic malgnant syndrome japo extrapyramidal effects zinaweza sababishwa pia na dawa zingine tu mbali na za psychosis kama vile dawa za kuzuia kutapika.
Ukigoogle youtube uone video za hizo effect utanielewa kwanini nakuambia ukatibiwe hospital mbali na nyumbani, mana tunaweza kuambia dawa hapa zikakusaidia kisha kutokana na kwamba umeshindwa kumoderate amount of dosage, kwahiyo ukajiongezea depression na kisha kufanya panic actions ikiwemo kujiua.
snipa
Umetumia dawa gani na kwa muda gani ?Kumbe ukitumia dawa za wagonjwa wa akili unaweza pata parkinson. mimi nimetumia hizo dawa kwa muda mrefu ila nikiziacha tuu anxiety inajirudia yaani nakua na too much worries mpaka nakua na tremors/trembling, nakua na fear pia. sasa mkuu sio parkinson hiyo?
Umetumia dawa gani na kwa muda gani ?
Na uliambiwa utumie dose kiasi gani ? Pia na nani ?
Samahani unaweza niambia gharama yahizo dawa maana najihisi me pia msongo wamawazoNlimwona daktari akanipa dose ya olanzapine 5mg na imipramine kwa muda wa mwaka mmoja, ila nlipoona tatizo haliishi linajirudia this year nkajiongezea dose nikawa nameza vidonge 4 vya olanzapine hapo tatizo likaisha akili ikatulia, nikaacha kutumia tena dawa. kilichobaki nna too much worries na fear, tremors. sasa najiuliza hii tremors/trembling ni parkinson disease au?
Prescription ya aina hii huwa ni ngumu kupewa 1 year dosage without monitoring body response, na kawaida ni dawa nyingi huwa hivi.Nlimwona daktari akanipa dose ya olanzapine 5mg na imipramine kwa muda wa mwaka mmoja, ila nlipoona tatizo haliishi linajirudia this year nkajiongezea dose nikawa nameza vidonge 4 vya olanzapine hapo tatizo likaisha akili ikatulia, nikaacha kutumia tena dawa. kilichobaki nna too much worries na fear, tremors. sasa najiuliza hii tremors/trembling ni parkinson disease au?
Prescription ya aina hii huwa ni ngumu kupewa 1 year dosage without monitoring body response, na kawaida ni dawa nyingi huwa hivi.
Btw, dawa za schzophrenia ni muhimu kuacha mpaka uambiwe na aliyekuambia (medical practioner) mana huwa zinahitaji trick sana na response ya mwili kwa mwanaume na mwanamke huwa tofauti pia japo sio zote hazitumiwi na wajawazito.
Ulipopewa Alonzapine na Imipramine kama dosage ilitakiwa uwe unafanyiwa monitoring kwa kuangalia unarespond vipi your treatment,
Olanzapine hata ikiwa umefuata prescribed dosage ukiona side effects kama tremors unahitaji urudi hospitali, kwa mtaalamu aliyekuambia hivyo.
Sio dawa zote zinafikia desired effect kwa kiongeza tu dose, upo kwenye addiction na effect kama tremor ni alert inauokurudisha hospitali mana effects nyingne zinahitaji diagnosis ikiwemo kuangalia blood flow & biochemistry, heart rhythm n.k
Unapopewa dawa kinachoangaliwa ni ukubwa wa faida kuliko madhara, kwahyo kuongeza dosage ni kukalibisha madhara ya dawa husika ili kuongeza faida, kwahyo ni little trick tu inahitajika ndio mana kuna changes katka dosage na dawa husika, ndio mana wengine wanapewa amityprine, wengine Imapramine kwasabu ni less sedative na wengine wanatakiwa wawe sedated ili watulie na matatizo kama vile migraine na depression kiujumla.
Kwahiyo unahitaji kurudi hospitali ukafanyiwe diagnosis.
Samahani unaweza niambia gharama yahizo dawa maana najihisi me pia msongo wamawazo
Watafute watu wa kiroho wanasaididia sana,tulikuwa huko na sasa tuko huru kwa asilimia 100...
habari ndugu..Habari,
Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
Habari,Habari,
Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.
Nitafute mimi nipate kukutibia utapona.Habari,
Ndugu wataalamu, ninaomba msaada wenu ninahali ya msongo wa mawazo inayopelekea kuumwa na kichwa, mwili kuwa na hali ya vichomi baridi, hali ya hofu, pia kuvurugika kwa hali ya kujisaidia haja ndogo.
kila nikijitahidi kupuuzia hii hali nashindwa je ni njia zipi zinaweza kunisaidia?
ahsanteni.