Msaada kuathirika na Msongo wa Mawazo


unasubiri nini kuonana na Psychatrist na clinical psychologist?
mbona wamejaa pale MNH na wamesoma kuwasaidia watu kama nyie...mtu mzima mpaka unajikojolea afu unategemea kupuuzia kutakusaidia!
Huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine nenda hospitali upate tiba ya kidawa na ya kisaikolojia...utaambiwa vitu vya kukusaidia!
wengi hapa watapiga ramli tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…