Msaada: Kufanya kazi Jeshini au kuwa raia wa kawaida kipi bora?

Habarini ndugu zangu,

Kama jina “linavyo-display” hapo juu. Baada ya kuhitimu bachelor’s degree miaka kadhaa iliyopita na kusambaza CV ofisi mbali mbali, hatimaye mapema mwaka jana nilipata nafasi kama “intern” kwenye taasisi ya kiserikali (nalipwa​
Miaka 11 iliyopita baada ya kumaliza chuo niliwahi kuwa na munkari wa kuingia jeshini tena direct kwa kutumia elimi niliyopata kwa kipindi hiko....

Nikamfuata ndugu yangu mmoja mwanajeshi mwenye cheo kiasi nikamuomba ushauri...

Alichonijibu

"Kama unataka kuingia jeshi kwa kuwa unaona ajira ni ngumu lakini moyo wako haukutumi kwenda jeshi acha usiende, na kama umeridhia kuingia kwa moyo wako wote na unaipenda moyoni basi ingia nitakusaidia kila kitu.."

Nikakaa nikawaza kama wiki hivi. Mwisho nikaamua nibaki kitaa nipambane....

Nakushauri achana na mambo ya jeshi kama moyo na dhamira yako haitaki...
 
Thread closed
 
Kama una ndoto kubwa usiingie uaskari utajipiga kufuli ila kama unataka hela za matumizi tu kupay bills, kusomesha nk ingia uaskari but most important jitathmini unahitaji nini maishani mwako usiogope njaa saana kiasi kwamba utumie cheti cha form four wakati una degree subiri nafasi ya degree ikija utumie degree ili ufurahie matunda yako ya degree
I second you
 
Ngoja nikushauri kitu mdogo wangu tena unisikilize kwa makini sana.

Usiende kwenye kazi ya uaskari kwa sababu huna ajira au usifanye kazi ya uaskari kama sehemu ya kwenda kuzugia utakuja kujuta.

Ila nenda kwenye kazi ya uaskari kama uliipenda tangu zamani na ulikuwa una ndoto hiyo.

Na usifikiri ukiingia kwenye kazi ya uaskari utatoka kirahisi kama watu wanavyoacha kazi kwenye kampuni za kiraia.

Kuna rafiki zangu wengi waliingia kwenye kazi ya uaskari kwa mawazo kama yako wewe hadi sasa hivi miaka 10 imepita bado hawajachomoka.

Tena kuna mmoja huyo yeye alivyoingia kazi ya uaskari baada ya mwaka akawa ameichoka kazi akawa anatoroka anarudi nyumbani basi unaambiwa walikuwa wanamfuata hadi nyumbani kwao wanambeba kinguvu wanamuadhibu kisha wanamrudisha kazini,hadi hii leo miaka zaidi ya 10 imepita bado yuko huko imebidi tu aizoee kazi yake.

Kwa hiyo shida au kukosa kazi isikufanye ukurupuke kwenye maamuzi ambayo sio sahihi.
 
Habarini ndugu zangu,

Kama jina “linavyo-display” hapo juu. Baada ya kuhitimu bachelor’s degree miaka kadhaa iliyopita na kusambaza CV ofisi mbali mbali, hatimaye mapema mwaka jana nilipata nafasi kama “intern” kwenye taasisi ya kiserikali (nalipwa 150,00Tsh kwa mwezi, posho zingine kama za safari na vikao) na ndipo nilipo mpaka wakati huu, na ninavyoandika uzi huu nipo ofisin nimetulia nasubiri muda wa kazi niendelee kuitumikia serikali yangu.

Recently, kuna nafasi imekuja ya kujiunga taasisi ya kijeshi (moja kati ya polisi, zimamoto na magereza) lakini kwa kutumia elimu ya form 4/form 6. Lakini kiuhalisia sina amani kabisa kufanya kazi huku. Napenda kufanya kazi niwe kama raia wa kawaida na kuendelea kutumia maarifa yangu niliyoyapata through my degree’s journey.

After these two scenarios, nimekwama kwenye maamuzi. Kama mnavyojua maisha mtaani magumu ila hatuchoki kutafuta, (1) natamani kuendelea na internship huku nikiendelea kusambaza CV (nafurahia taasisi za kiraia). (2) Natamani niingie huko kwenye “uaskari” ili niepuke hiki kikombe cha maisha magumu huku mtaani (sina amani kufanya sekta hizi). Ushauri tafadhali kwa wale wakongwe na wazoefu kwenye mambo haya ya ajira,

Pia ningetaka kujua je, baada ya kuingia huko kwenye “uaskari” naweza kuhama kama wengine wanavyohama kutoka ofisi moja kwenda nyingine (mfano kutoka uaskari kwenye TMDA, TBS, Halmashauri na taasisi zingine kama hizo)?

Changamoto niliyonayo: siko vizuri kwenye interviews (nimefanya nyingi) lakini naendelea kuji-expose kwenye maongezi mbalimbali na kujifua zaidi ili kutengeneza confidence, kujieleza na kujenga hoja.

Hitimisho: nimeleta uzi humu sababu kuna advisory experts, psychology specialists, HRs na watu wengine wenye uzoefu na mambo/changamoto kama hiyo.

Ahsante.​
Baki uraiani
 
Ngoja nikushauri kitu mdogo wangu tena unisikilize kwa makini sana.

Usiende kwenye kazi ya uaskari kwa sababu huna ajira au usifanye kazi ya uaskari kama sehemu ya kwenda kuzugia utakuja kujuta.

Ila nenda kwenye kazi ya uaskari kama uliipenda tangu zamani na ulikuwa una ndoto hiyo.

Na usifikiri ukiingia kwenye kazi ya uaskari utatoka kirahisi kama watu wanavyoacha kazi kwenye kampuni za kiraia.

Kuna rafiki zangu wengi waliingia kwenye kazi ya uaskari kwa mawazo kama yako wewe hadi sasa hivi miaka 10 imepita bado hawajachomoka.

Tena kuna mmoja huyo yeye alivyoingia kazi ya uaskari baada ya mwaka akawa ameichoka kazi akawa anatoroka anarudi nyumbani basi unaambiwa walikuwa wanamfuata hadi nyumbani kwao wanambeba kinguvu wanamuadhibu kisha wanamrudisha kazini,hadi hii leo miaka zaidi ya 10 imepita bado yuko huko imebidi tu aizoee kazi yake.

Kwa hiyo shida au kukosa kazi isikufanye ukurupuke kwenye maamuzi ambayo sio sahihi.
Shukrani sana nimekupata
 
Miaka 11 iliyopita baada ya kumaliza chuo niliwahi kuwa na munkari wa kuingia jeshini tena direct kwa kutumia elimi niliyopata kwa kipindi hiko....

Nikamfuata ndugu yangu mmoja mwanajeshi mwenye cheo kiasi nikamuomba ushauri...

Alichonijibu

"Kama unataka kuingia jeshi kwa kuwa unaona ajira ni ngumu lakini moyo wako haukutumi kwenda jeshi acha usiende, na kama umeridhia kuingia kwa moyo wako wote na unaipenda moyoni basi ingia nitakusaidia kila kitu.."

Nikakaa nikawaza kama wiki hivi. Mwisho nikaamua nibaki kitaa nipambane....

Nakushauri achana na mambo ya jeshi kama moyo na dhamira yako haitaki...
Ndiyo ninachokipitia sasa, shukrani sana
 
Back
Top Bottom